RECENT UPDATES

NAVY KENZO MBIONI KUPATA MTOTO WA PILI | FACKSONMEDIA





Kipindi cha ujauzito wa mtoto wao wa kwanza 

Msanii wa muziki Bongo, Aika ambaye anaunda kundi la Navy Kenzo na mpenzi wake, Nahreel wapo mbioni kupata mtoto wa pili. 

Wawili hao ambao wanafanya vizuri na wimbo 'Katika' waliomshirikisha Diamond Platnumz, wameelezea ujio wa mtoto wao huyo ambaye tayari wamempatia jina la Jamaika. 





"Zimebaki siku chache JAMAIKA aungane na sisi Inshallah," ameeleza Aika.

Utakumbuka kuwa mtoto wao wa kwanza ambaye ni wa kiume walimpata December 2017 na kumpa jina la Gold. 

No comments